Nimekua kimya sana katika ku post new post kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu lakini nashukuru Mungu kwa kupata nafasi tena ya kuweza kuwajulisha wapenzi wa blog yetu ya miminaedward.blogspot.com kuwa nipo jikoni nikimalizia Project ya kutengeneza Software ambayo naami itakua mchngu mkubwa kwa Taifa langu na kwa wengine pia.Basi hii ni sehemu tu katika project yangu na nikaona ni vyema nikumba angalau kidogo tu kwa leo.
Nakuja....!


6:22 AM
Edward Mwasakafyuka

6 comments:
congrats kijana .you have inspired so much.i would like to do the same but how much resouces do i need?
i think it will be very nice kama utakuwa unapost some lectures on how to develop sytem kama hiii.
Asante sana Anonymous wa May 15, 2011 11:17 AM. Tafadhari naomba tuwasiliane kupitia maae2@live.com na ni matumaini nitaputa mbinu za kutumia ili uweze kufanya kazi kama au zaidi ya hii.Karibu sana wakati wowote mda wowote.Pamoja daima
Anonymous wa May 15, 2011 11:20 AM nashukuru kwa maoni yako nimeyapokea kwa mikono miwili.Kwa sasa natengeneza videos mbalimbali za namna au jinsi ya kutengeneza blog ili ziweze kuwasaidia watu wengine.Ila nakimaliza hili nahisi nitafuata na hilo lako.Karibu tena.
Pamoja daima
Niaje kaka uko tight na kazi zako nazikubali keep it up ni mimi Yethroy Roy Jerome niko mbioni kuachia blog yangu nimesha itengeneza kianzio sema naendelea kutafyta maujanja iwe ya ukweli inakwenda kwa jina la yethroy.blogspot.com. Ni hayo kaka keep it up you are representing Tosa Boys pia
Thanx kaka.karibu sana katika ulimwengu wa blog.wish u nc safari bro
Post a Comment