Mara nyingi katika jamii yetu mtu na mpenzi wake wakivalishana pete ya uchumba au kuhalalisha uchumba wao kwa namna yoyote tunajumuika nao kufurahi.Lakini ikipita miaka 2,3,4 watu wanaanza kuhoji jamani mbona hawaoani mpaka pete inapaukia kidoleni?Sasa mimi nahoji kwani uchumba una mipaka yake?uchumba mwisho miaka mingapi?ikipita hiyo miaka una kuwa ume exepire?



